BABU KIZEE
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 452
- 72
Mh 1403261408904jpg
We mwenyewe ukisoma hii kitu unaielewa?
Silicon valley kama wewe una run start up microfinance naweza kuhisi kuna sehemu umeingia vibaya ( yaani kwenye lending model yenu inaonekana kuna loopholes).
Yawezekana kweli usielewe na hasa kama huna mwanga wa shughuli za biashara za kifedha, pia mm sina taaluma ya utoaji wa habari au taarifa, nasikitika lakini kama uko lnterested ni PM, kwa ufupi tunauza mkataba wa Deni tulilomkopesha mtu/mteja badala ya kusubili atulipe yeye wewe utulipe kwa kulinunua kwa pungufu kidogo ya zile mteja atakazolipa. muda ukiwadia atakulipa wewe moja kwa moja. kwani wewe utakuwa ulishatulipa/nunua kwetu