Msaada wa kuuza deni kwa haraka 30 mln

Msaada wa kuuza deni kwa haraka 30 mln

We mwenyewe ukisoma hii kitu unaielewa?

Pole mkuu, ila hii kitu ya kuuza deni ni kawaida sana aisee! Sema tu hutakiwi kuingia kichwa kichwa kwenye kufanya discounting ya madeni. Lazima ufanye analysis ya nguvu otherwise you will end up buying un collectable debt book.

Nzuri zaidi ni kuwa involve lawyer ili kuwe na recourse kwa seller wa hivi vitabu vya madeni endapo mwezi utapita bila wewe kupata chako kama jamaa anavyodai.
 
Silicon valley kama wewe una run start up microfinance naweza kuhisi kuna sehemu umeingia vibaya ( yaani kwenye lending model yenu inaonekana kuna loopholes).
 
Yawezekana kweli usielewe na hasa kama huna mwanga wa shughuli za biashara za kifedha, pia mm sina taaluma ya utoaji wa habari au taarifa, nasikitika lakini kama uko lnterested ni PM, kwa ufupi tunauza mkataba wa Deni tulilomkopesha mtu/mteja badala ya kusubili atulipe yeye wewe utulipe kwa kulinunua kwa pungufu kidogo ya zile mteja atakazolipa. muda ukiwadia atakulipa wewe moja kwa moja. kwani wewe utakuwa ulishatulipa/nunua kwetu

kuwa wewe kuweza.....!?
 
Back
Top Bottom