Msaada wa kuuza deni kwa haraka, 30ml

Msaada wa kuuza deni kwa haraka, 30ml

Silicon Valley

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
1,092
Reaction score
1,118
MSAADA WA KUUZA DENI KWA HARAKA 30 mln

Tunafanya biashara ya kukopesha pesa kwa Riba, Pana wateja wetu tunaowadai na bahati mbaya na sisi tumejikuta tuna mapungufu ya pesa kwa haraka pia tokana na mikataba yetu na wateja inahitaji kusubiri kama mwezi mmoja tu, tumeongea na mteja mmoja amekubali kuhamia popote hilo deni lake ili sisi tuuze na tuweze kupata hizo peta,, tafadhali kwa yeyote alie tayari atujulishe na tutamuachia faida ya kutosha kutoka kwa mkataba huo
 
wameweka dhamana ya kitu gani?ili kushawishi mtu kuweza kununua hilo deni?nyumba yenye fixed tittle ambayo inasoma majina ya wakopeshwaji au ?
 
Duhh,hii kali sasa.
Mlipoanzisha mlikuwa na Leseni?
Kama hamna Leseni basi nyie wenyewe ni wahalifu,jela hiyoo Deci
 
wameweka dhamana ya kitu gani?ili kushawishi mtu kuweza kununua hilo deni?nyumba yenye fixed tittle ambayo inasoma majina ya wakopeshwaji au ?

Dhamana ni nyumba iko maeneyo ya ubungo hati (leseni ya makazi) tunayo kama uko lnterested ni PM tutakuelekeza office ilipo kwa mazungumzo zaidi
 
Safi sana.
Vipi commission ipoje
Halafu edit post ya mwanzo,kwangu naona kama haipo wazi sana hasa katika uelewa wa namna ya deni hili lilivyo stand
 
MSAADA WA KUUZA DENI KWA HARAKA 30 mln

Tunafanya biashara ya kukopesha pesa kwa Riba, Pana wateja wetu tunaowadai na bahati mbaya na sisi tumejikuta tuna mapungufu ya pesa kwa haraka pia tokana na mikataba yetu na wateja inahitaji kusubiri kama mwezi mmoja tu, tumeongea na mteja mmoja amekubali kuhamia popote hilo deni lake ili sisi tuuze na tuweze kupata hizo peta,, tafadhali kwa yeyote alie tayari atujulishe na tutamuachia faida ya kutosha kutoka kwa mkataba huo
mnaweza kunikopesha 12m?. nina dhamana na uwezo wa kuwalipa?
 
hapo ndio utajua kuna harufu ya utapeli.
Iweje taasisi imuuzie mtu binafsi deni?
Sheria za nchi zinasemaje?
Je sheria za taasisi yao zinaruhusu hilo?
Kama ni taasisi ilosajiliwa na hainamatatizo;
kwanini wasiende bank kukopa kama wanauhitaji
wa hela?
 
Back
Top Bottom