keneddelly
Member
- Feb 11, 2020
- 41
- 70
Mimi nalia na Hawa CRDB BANK.
Mimi ni mfanyabiashara mdogo tu, nilichukua lipa ya CRDB nikaiweka ofsini kwangu, mteja wangu kanilipa kupitia hiyo lipa, pesa haikufika kwenye akaunti yangu na ilihali kwenye benki yake (NMB)inaonekana pesa imelipwa.
Week ya tatu hii nafuatilia hakuna msaada wowote, Ebu fikiria kijana napambana anatokea mteja ananilipa million moja kupitia huduma za benki then pesa haionekani.
Nimeenda kwenye tawi nilipotengenezea majibu ya kueleweka sipati.
Kama hii huduma kuna uhuni wowote, naomba nitambue ili niache hata kufatilia maana mpaka sasa nimechoka.