Msaada wa kuweza kufanya data recover kwenye laptop

Msaada wa kuweza kufanya data recover kwenye laptop

CompaQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
281
Reaction score
134
Habarini wakuu,

Naomba msaada wa Data Recover ambazo kwa Bahati Mbaya nili fomati hivyo taarifa za kwenye Folder and Files zimepotea zote.

Hivyo kama kuna namna au kuna Software inaweza fanikisha au mtaalamu wa kuweza kufanikisha zoezi tafadhali msaada wake unahitajika.

Nipo Dar Es salaam, Kimara Mwisho
 
Download hii app kutoka getintopc.com inaitwa EaseUs data recovery.
 
Download hii app kutoka getintopc.com inaitwa EaseUs data recovery.
Hii atarudisha hata ambavyo hakumbuki aliviweka lini [emoji16] anyway kama mzigo ulkua mkubwa sana na PC ake iko slow na umeme huu wa mgao kama PC ake haitunzi chaji muda mrefu hapo lazima kiumane...
 
Back
Top Bottom