mlonge sifahamu ni nini ila juice ya ukwaju no nzuri sana kwa wajawazito kwani ina calcium nying sana itakayomfaa mtoto.hata mm nilitumia sana ndo yalikua maji yangu nlikua nakunywa lit 3 kila siku naweka kwenye chupa za maji zile kubwa za.lit 1.5 mbili naenda nazo kazini mpaka jion imeisha.pia juice ya ubuyu ni nzuri kwa wajawazito.
Angalizo: hakikisha unachemsha mpaka ichemke wakat wa kuiandaa ili kuua vijidudu vyote.
Hata kusemea nae akiwa tumboni
penda sana kusoma soma vitabu kipindi hiki inasaidia
He he he..achemshe na vitabu vikubwa anywee na supu
Hee,mayai mabichi au yasiyo iva vizuri yana matatizo gani na ni kwa watoto tu au hata watu wazima,nianzie hapo kwanza coz sifahamNdugu nielezee vizuri hapo kwenye mayai, maana nijuavyo mayai mabichi au yasioiva vizuri ndio shida sasa mayai yaliyoiva vizuri yana shida gani.
Penda kujisomea rasimu ya katiba ya Sitta mara kwa mara! Atakua genius kama wajumbe wenyewe!
Akili nyingne ni za kurithi kama kwenu ni vilaza mtoto atafuata humo humo hata ungekula nini
Habari zenu!
Nna ujauzito wa miez 6 sasa, je ni dawa gan ambayo naweza kutumia ili niweze pata mtoto mwenye ufaham mzuri?
Gata akiwa class awe dizaini za wale watu mwalimu akifundisha awe anamuelewa haraka na kuweza kufaulu vizuri.
Mim nitakupa Dawa ya mtoto wako awe ana akili kipindi kile unamnywesha uji hapo nitakupa dawa nzuri sana ili mwanao anapokuwa mkubwa awe ana akili darasani kuwazidi wenzake korinoHabari zenu!
Nna ujauzito wa miez 6 sasa, je ni dawa gan ambayo naweza kutumia ili niweze pata mtoto mwenye ufaham mzuri?
Gata akiwa class awe dizaini za wale watu mwalimu akifundisha awe anamuelewa haraka na kuweza kufaulu vizuri.
Penda kujisomea rasimu ya katiba ya Sitta mara kwa mara! Atakua genius kama wajumbe wenyewe!
hii doze yako kiboko .....