Msaada wa kuzaa mtoto mwenye akili

Msaada wa kuzaa mtoto mwenye akili

Akizaliwa apate maziwa ya mama watoto wanaokunywa maziwa ya mama wanakua na IQ kulunganisha na walionyonya fomula
 
mlonge sifahamu ni nini ila juice ya ukwaju no nzuri sana kwa wajawazito kwani ina calcium nying sana itakayomfaa mtoto.hata mm nilitumia sana ndo yalikua maji yangu nlikua nakunywa lit 3 kila siku naweka kwenye chupa za maji zile kubwa za.lit 1.5 mbili naenda nazo kazini mpaka jion imeisha.pia juice ya ubuyu ni nzuri kwa wajawazito.
Angalizo: hakikisha unachemsha mpaka ichemke wakat wa kuiandaa ili kuua vijidudu vyote.

Swali ulizaa mtoto mwenye akili?
 
Penda kujisomea rasimu ya katiba ya Sitta mara kwa mara! Atakua genius kama wajumbe wenyewe!
 
Ndugu nielezee vizuri hapo kwenye mayai, maana nijuavyo mayai mabichi au yasioiva vizuri ndio shida sasa mayai yaliyoiva vizuri yana shida gani.
Hee,mayai mabichi au yasiyo iva vizuri yana matatizo gani na ni kwa watoto tu au hata watu wazima,nianzie hapo kwanza coz sifaham
 
Habari zenu!

Nna ujauzito wa miez 6 sasa, je ni dawa gan ambayo naweza kutumia ili niweze pata mtoto mwenye ufaham mzuri?

Gata akiwa class awe dizaini za wale watu mwalimu akifundisha awe anamuelewa haraka na kuweza kufaulu vizuri.

Tafiti inaonyesha asilimia kubwa ya mtoto anapozaliwa hupata IQ ya mama na sio baba...kasheshe kama ww ni kilaza itakuwa aisee
 
Habari zenu!

Nna ujauzito wa miez 6 sasa, je ni dawa gan ambayo naweza kutumia ili niweze pata mtoto mwenye ufaham mzuri?

Gata akiwa class awe dizaini za wale watu mwalimu akifundisha awe anamuelewa haraka na kuweza kufaulu vizuri.
Mim nitakupa Dawa ya mtoto wako awe ana akili kipindi kile unamnywesha uji hapo nitakupa dawa nzuri sana ili mwanao anapokuwa mkubwa awe ana akili darasani kuwazidi wenzake korino
 
Unaanza kumlea akiwa tumboni kwa kuongea naye ni kumuimbia. Akishazaliwa endelea hivyo na pia anza kumsomea vitabu kuanzia miezi sita. Wataalamu wanadai hapo unaanza kumjengea mtoto tabia ya kusikiliza kwa makini na inasaidia kujenga akili yake kwa kiwango kikubwa sana ukilinganisha na yule mtoto asiyesomewa. Pamoja na kuwa haelewi nini kinasomwa lakini akifika miaka miwili utaona jinsi alivyokuwa na akili ambayo haiendani na umri wake katika mambo mbali mbali ayafanyayo katika umri huo na kuanza kuwa na mapenzi makubwa na vitabu na kupenda kusomewa.
 
Habari zenu!

Nna ujauzito wa miez 6 sasa, je ni dawa gan ambayo naweza kutumia ili niweze pata mtoto mwenye ufaham mzuri?

Gata akiwa class awe dizaini za wale watu mwalimu akifundisha awe anamuelewa haraka na kuweza kufaulu vizuri.

ha ha ha ha unaogopa kufyatua timu NAPE.
 
Njo uzae na mm nina one olevel na advance afu nko 3yr n medcn stil no sup
 
Back
Top Bottom