tricecriss
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 225
- 59
Habari zenu nyote.naomba mnisaidie jinsi ya kuzuiaimba kwa njia ya asili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari zenu nyote.naomba mnisaidie jinsi ya kuzuiaimba kwa njia ya asili.
Habari zenu nyote.naomba mnisaidie jinsi ya kuzuiaimba kwa njia ya asili.
Habari zenu nyote.naomba mnisaidie jinsi ya kuzuiaimba kwa njia ya asili.
Tunaomba kuitambua jinsia kwanza ili tusije kuonekana tumekutusi.
jitambulishe jinsia, umri, umeoa au kuolewa....una watoto, na sababu ya kutaka kuzuia Mimba n ipi, is it spacing, delaying or limiting pregnancy
Ukifikia climax mwaga vyombo nje, hii itakusaidia pia stamina na long lasting sex, kwakuwa bandugu akitapikia ndani anakosa nguvu kabisa akitoka yuko hoi bin taabani huwa ni ngumu kuunga route mpaka upumue Kidogo, lakini ukipaisha magoli ngoma hailali
nimejaribu kuifanya iwe short na yakueleweka na kama kutukana utakuwa umeamua kama si kawaida yako.kama mwanaume anabeba mimba we tukana utakavyo.
mi sione kama hivyo vitu ulivyotaka nijitambulishe vinamata sana,kwa kifupi natarajia kuolewa na nimjauzito,
sasa kama unaujauzto unataka kuzuia nn tena....ndio maana nikauliza nn dhumun lako la kutaka kutumia njia za uzazi wa mpango ....rudia post yang hapo