Baba hana uwezo kabisa wa kumpeleka mtoto songea JKT. Hawezi kupata nauli ya kwenda huko na mahitaji mengine.
Anaamua kutokwenda.
1. Akiacha kuna tatizo lolote? sheria inasemaje?
2. Nimemshauri mtoto aende kambi iliyo karibu aripoti, inawezekana?
Swala la jeshi halina uhusiano na kupata au kukosa mkopo/chuo/kaziBaba hana uwezo kabisa wa kumpeleka mtoto songea JKT. Hawezi kupata nauli ya kwenda huko na mahitaji mengine.
Anaamua kutokwenda.
1. Akiacha kuna tatizo lolote? sheria inasemaje?
2. Nimemshauri mtoto aende kambi iliyo karibu aripoti, inawezekana?
Noted!Swala la jeshi halina uhusiano na kupata au kukosa mkopo/chuo/kazi
Kama mtu yupo interested na mazingira yanaruhusu aende kama vinginevyo bora abaki home afanye mambo mengine