Baba Jazey
JF-Expert Member
- Apr 14, 2016
- 500
- 556
Wapendwa poleni kwa majukumu
Naomba kujua mambo ya msingi kwa gari tajwa hapo juu
1. Ulaji wa mafuta
2. Upatikanaji wa spea
3. Magonjwa ya mara kwa mara
4. Uimara wa gari hasa kwenye bara bara za vumbi
Natanguliza shukran