Tajiri wa Magomeni
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 4,274
- 2,935
hivi mzee umeshtuka kwamba kuna kuna discovery td5 Zina mabody makubwa kuliko nyingine?sijui zitakuwa model gani zile?Ingawa hujataja model ya LR D2 TD5 kuhusu spare zinapatikana kwa wingi Dar es salaam ila kama ujuavyo hakuna feki n OG bei imechangamka kidogo ila kwa sasa dunia n Kijiji unaagiza kwa bei nafuu tu hasa ukiwa na shop and ship account itakurahisishia...