Baba Jazey
JF-Expert Member
- Apr 14, 2016
- 500
- 556
Nashukuru sana kiongozi kwa ushauri wako.Engine ya Td 5 ni nzuri kwenye speed na ulaji mzuri wa mafuta. Tatizo lake kubwa ni kuwa ikipata shida huwezi kujua shida yake hadi upate diagnosis machine, sasa kama imepata shida mikoani, itabidi ulikokote gari hadi mjini...
Picha
Ufafanuzi tafadhali tofauti yake nini (ukiweka na picha itapendeza zaidi)Ingawa hujataja model ya LR D2 TD5 kuhusu spare zinapatikana kwa wingi Dar es salaam ila kama ujuavyo hakuna feki n OG bei imechangamka kidogo ila kwa sasa dunia n Kijiji unaagiza kwa bei nafuu tu hasa ukiwa na shop and ship account itakurahisishia.
Ushauri wangu nunua ya Diesel TD5. Hili gari lina ulaji mdogo sana wa mafuta tofauti na LR D1 na ina engine ina compressions kubwa inayoifanya hiyo gari kukimbia sana na very stable barabarani...
Nashukuru kwa ushauri wako mzuri, kama autojali hiv kwa td5 ya diasel ulaji wake wa mafuta ukoje.Ingawa hujataja model ya LR D2 TD5 kuhusu spare zinapatikana kwa wingi Dar es salaam ila kama ujuavyo hakuna feki n OG bei imechangamka kidogo ila kwa sasa dunia n Kijiji unaagiza kwa bei nafuu tu hasa ukiwa na shop and ship account itakurahisishia.
Ushauri wangu nunua ya Diesel TD5. Hili gari lina ulaji mdogo sana wa mafuta tofauti na LR D1 na ina engine ina compressions kubwa inayoifanya hiyo gari kukimbia sana na very stable barabarani...
Nashukuru kwa ushauri wako mzuri, kama autojali hiv kwa td5 ya diasel ulaji wake wa mafuta ukoje.
[/QUOTE
TD5 ulaji wake wa mafuta ni kidogo sana. Zote TDI300 and TD5 zote ulaji wake wa mafuta n mzuri sana ila TD5 n unakula kidogo zaidi huku ikiwa gari yenye nguvu sana. Kitu ambacho ni aghali kwa TD5 n spare parts basi lkn issue mafuta wala sio ya kuwazia
Nashukuru kwa ushauri wako mzuri, kama autojali hiv kwa td5 ya diasel ulaji wake wa mafuta ukoje.
Ufafanuzi tafadhali tofauti yake nini (ukiweka na picha itapendeza zaidi)
Nashukuru kwa ushauri wako mzuri, kama autojali hiv kwa td5 ya diasel ulaji wake wa mafuta ukoje.
Kuna Defender Td 5, hii spare Parts zake ni sawa na Defender Tdi 300, tofauti ni kwenye engine na gear box tu.TD5 ulaji wake wa mafuta ni kidogo sana. Zote TDI300 and TD5 zote ulaji wake wa mafuta n mzuri sana ila TD5 n unakula kidogo zaidi huku ikiwa gari yenye nguvu sana. Kitu ambacho ni aghali kwa TD5 n spare parts basi lkn issue mafuta wala sio ya kuwazia
Kuna Defender Td 5, hii spare Parts zake ni sawa na Defender Tdi 300, tofauti ni kwenye engine na gear box tu.
Vv
Je, engine za TDI zenye uhakika zinapatikana maeneo gani hapa DAR, maana wajanja wamekuwa wengi.Engine ya Td 5 ni nzuri kwenye speed na ulaji mzuri wa mafuta. Tatizo lake kubwa ni kuwa ikipata shida huwezi kujua shida yake hadi upate diagnosis machine, sasa kama imepata shida mikoani, itabidi ulikokote gari hadi mjini...
Je, engine za TDI zenye uhakika zinapatikana maeneo gani hapa DAR, maana wajanja wamekuwa wengi.
Kwa Dar sijui ila kwa Arusha, zinapatikana kwa urahisi tu.Je, engine za TDI zenye uhakika zinapatikana maeneo gani hapa DAR, maana wajanja wamekuwa wengi.
Asante.Aisee kuna jamaa alikuwa nazo maeneo ya Buguruni, n direct from UK na bei ilikuwa 4.2m. Nikikumbuka Jina au namba yake nakutumia. Temeke utapata za Shinyanga