Msaada wa Laptop ya TOSHIBA

Msaada wa Laptop ya TOSHIBA

umefanya vizuri kuuliza, Dell ni computer mzuri kama unanunua na Software Parkage zake, kwani ni wasumbufu sana hasa kama unaweka Win nyingine inadai Drivers hivyo itakugharimu mpaka kwa fundi, mimi nakushauri ununue TOSHIBA mara nyingi ukiinstall Win hasa Win xp drivers zinaingia zenyewe hivyo hata mwenyewe unaweza fanya formating bila ya fundi ili kupunguza unnecessary cost usinunue HP

Thanks
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom