Msaada wa Link/web - Wanamuziki wa Bongo Flava!

Msaada wa Link/web - Wanamuziki wa Bongo Flava!

kindafu

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
1,346
Reaction score
1,678
Nawasalimu wakuu!
Naomba link/web ya kuweza kupata taarifa za ziada za wanamuziki wa bongo flava kuhusu historia zao na maisha yao nje ya muziki! K.m. "Baby J" - alikozaliwa na lini, alikosomea na lini, historia yake kwenye tasnia ya muziki, mafanikio yake kwenye muziki, maisha yake nje ya muziki, nk. nk.
 
Wakuu hata kama hakuna link naomba yeyote anayemfahamu "Baby J" anijuze taarifa zake! Nilimwona na kumsikia kwa mara ya kwanza katika "Collaboration" yake na vijana wa "Off Side Trick" ktk wimbo "Kidudu Mtu". Nilivutiwa naye na "ku-you tube" ndipo nilipogundua kuwa amefanya "Collaboration" nyingi na wana bongo flava wa mitindo mbali mbali. Nimetamani kupata taarifa zake za ziada i.e alikozaliwa na lini, alikosoma na lini, anachofanya nje ya muziki nk nk!
Naomba msaada wenu tafadhali!!!!
 
Hivi ni kweli huyu binti hafahamiki au nimekosea jamvi nihamishie kwenye Udaku??
 
Back
Top Bottom