Daaah naitafuta sanaNaomba msaada wa website gani naweza kupata hii patch. Nimeitafuta sana lakini napata ambazo haziko updated.
Tayari mkuuWekiweka mnitag
Kuna channel moja ya Telegram walikuwa wanaziwekaNimejaribu sana naambulia ambazo sio