Kama ni wachezaji tu kama Hufahamu unaweza ukawahamisha mwenyewe ama uka download option file ambalo mwenzako kafanya, pes wanaweka option hio kwenye menu ya edit.
Kama unataka mbwembwe mpya kama graphics, viwanaja vipya, mipira mpya, na ui mods mbalimbali ndio unaweka patch.