Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, nahitaji msaada wa kujua ni spear zipi za malori makubwa ya mizigo zinazotoka sana ama zinazonunuliwa sana. Nataka kuanzisha biashara ya kuuza spares used na mpya za malori makubwa ya mizigo kama Scania, Daf, Benz Actros etc. kutoka UK. Kwa kuwa mtaji wenyewe ni limited nataka nijikite zaidi na zile spears ambazo ni fast moving, ukiachilia mbali parts za service oil filters, fuel filters, break pads etc ambazo zinajulikana kuwa zinahitajika kila siku.
Natanguliza shukrani.
Nilitaka kujibu hivo hivo...Yule mama ambaye scania yake ilizama mto wami anazijua sana. Poa Mkuu, ngoja nimuulize.
Shida mamba wanaharibu biashara... Hawakawii kusepa na clutchClutch plate, hydraulic pipes, water pumps, nozzle vinatembea sana
Kwa nini spear?Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, nahitaji msaada wa kujua ni spear zipi za malori makubwa ya mizigo zinazotoka sana ama zinazonunuliwa sana. Nataka kuanzisha biashara ya kuuza spares used na mpya za malori makubwa ya mizigo kama Scania, Daf, Benz Actros etc. kutoka UK. Kwa kuwa mtaji wenyewe ni limited nataka nijikite zaidi na zile spears ambazo ni fast moving, ukiachilia mbali parts za service oil filters, fuel filters, break pads etc ambazo zinajulikana kuwa zinahitajika kila siku.
Natanguliza shukrani.