Msaada wa list za spear za malori zinazotoka sana

Msaada wa list za spear za malori zinazotoka sana

Barcode

Member
Joined
Aug 9, 2017
Posts
35
Reaction score
62
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, nahitaji msaada wa kujua ni spear zipi za malori makubwa ya mizigo zinazotoka sana ama zinazonunuliwa sana.

Nataka kuanzisha biashara ya kuuza spares used na mpya za malori makubwa ya mizigo kama Scania, Daf, Benz Actros etc. kutoka UK.

Kwa kuwa mtaji wenyewe ni limited nataka nijikite zaidi na zile spears ambazo ni fast moving, ukiachilia mbali parts za service oil filters, fuel filters, break pads etc ambazo zinajulikana kuwa zinahitajika kila siku.

Natanguliza shukrani.
 
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, nahitaji msaada wa kujua ni spear zipi za malori makubwa ya mizigo zinazotoka sana ama zinazonunuliwa sana. Nataka kuanzisha biashara ya kuuza spares used na mpya za malori makubwa ya mizigo kama Scania, Daf, Benz Actros etc. kutoka UK. Kwa kuwa mtaji wenyewe ni limited nataka nijikite zaidi na zile spears ambazo ni fast moving, ukiachilia mbali parts za service oil filters, fuel filters, break pads etc ambazo zinajulikana kuwa zinahitajika kila siku.
Natanguliza shukrani.

Yule mama ambaye scania yake ilizama mto wami anazijua sana. Poa Mkuu, ngoja nimuulize.
 
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, nahitaji msaada wa kujua ni spear zipi za malori makubwa ya mizigo zinazotoka sana ama zinazonunuliwa sana. Nataka kuanzisha biashara ya kuuza spares used na mpya za malori makubwa ya mizigo kama Scania, Daf, Benz Actros etc. kutoka UK. Kwa kuwa mtaji wenyewe ni limited nataka nijikite zaidi na zile spears ambazo ni fast moving, ukiachilia mbali parts za service oil filters, fuel filters, break pads etc ambazo zinajulikana kuwa zinahitajika kila siku.
Natanguliza shukrani.
Kwa nini spear?
 
Back
Top Bottom