Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Je kwa mfano mtoto kazaliwa let's say marekani lakini wazazi wake ni watanzania je huyu mtoto atakuwa raia wa nchi gani?
Nawasilisha
Nawasilisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu tupo hapa kusaidiana mkuu... sasa hapo umemsaidia niniUmesoma CIVICS???
atatwaa uraia wa USA kwa kuzaliwa.Je kwa mfano mtoto kazaliwa let's say marekani lakini wazazi wake ni watanzania je huyu mtoto atakuwa raia wa nchi gani?
Nawasilisha
Nimesaidia kujibu swali kwa swali. Acha kudekeza UBONGO.mkuu tupo hapa kusaidiana mkuu... sasa hapo umemsaidia nini