ndugu mimi ni mwanachuo wa ruco bado. sijaupdate bado. na kwa taarifa nazoskia hakuna chuo kilichoupdate mpka sasa na tumaini washapokea barua kutoka board ya mikopo kwamba hakuna iyo process kwa mwaka huu.. na sie pia tunasubr barua ya uthibitisho kutoka bodi pia