Msaada wa loan update kwa tunaoendelea na masomo!

Idd Omary

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2013
Posts
250
Reaction score
37
Habari za siku wakuu! Naomba kuuliza kuhusu mfumo wa kuendelea kupata mkopo kwa sisi tunaoendelea unakuaje? kwa sababu kule kwenye profile hakuingiliki!! Msaada wenu jamani!!:sleepy:
 
ndugu mimi ni mwanachuo wa ruco bado. sijaupdate bado. na kwa taarifa nazoskia hakuna chuo kilichoupdate mpka sasa na tumaini washapokea barua kutoka board ya mikopo kwamba hakuna iyo process kwa mwaka huu.. na sie pia tunasubr barua ya uthibitisho kutoka bodi pia
 
Sustained!
 
Back
Top Bottom