Msaada wa lodge au motel karibu na Ubungo terminal

AKILI TATU

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2016
Posts
2,659
Reaction score
2,827
Wandugu..natazamia kupata ugeni hivi karibuni..msaada mwenye kujua affordable lodge au motel karibu na Ubungo bus terminal ..nimesearch google sijaona affordable .

Rent ianzie 20-35
 
Taja bei yako usaidiwe unaposema affordable,
Affordability inategemea na Status ya mtu, kuna mwingine affordable kwake ni 3k, mwingne10k, mwingne 50k, mwingne 150k n.k n.k
 
Nenda ilo ghorofa la hapo nyuma Kibadamo kuna Kuanzia elfu 30 single na 35 double.
 
Taja bei yako usaidiwe unaposema affordable,
Affordability inategemea na Status ya mtu, kuna mwingine affordable kwake ni 3k, mwingne10k, mwingne 50k, mwingne 150k n.k n.k
Rent ianzie 20-35
 
Afordability ni relative term,bei gani ume bajeti?
na status ya wageni wako? Au Mgeni ni wewe mwenyewe unataka ukaishi ubungo kwa muda huu wa krismas
 
Walau icheze Kati ya 20-30
 
Walau icheze Kati ya 20-30
Uliza Mtenzi Lodge,iko karibu na BEST POINT Hotel. hapo nyuma ya riverside,niliwahi waweka ndungu zangu hapo ,palikuwaga pasafi sana .sijui siku hizi.kama pako hivyo hivyo ni pazuri panamfaa mtu wa kati
 
Unaweza kunipa no zao for booking!?
 
Fikia KAGAME HOTEL,
Bei yao ni 25,000 hadi 75,000
Wana bonge LA Breakfast asubuhi,
Vyumba ni vzr mno...

Sina contact zao kwani huwa situnzi receipt, ila vyumba vipo tu utapata...
 
Kagame ipo uelekeo gani specify plz
 
Back
Top Bottom