Msaada wa lodge au motel karibu na Ubungo terminal

Msaada wa lodge au motel karibu na Ubungo terminal

Kagame ipo uelekeo gani specify plz
Pale pale Jirani na UBT ni moja kati ya majengo marefu kabisa kuliko yote...

Huhitaji kupanda Gari wala bodaboda waweza tembea tu kama huna mizigo mingi...

Jengo linaonekana na kusomeka vzr sana toka ukiwa ndani ya UBT...
 
Back
Top Bottom