AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,659
- 2,827
Naweza kupata mawasiliano yao for bookingNenda ilo ghorofa la hapo nyuma Kibadamo kuna Kuanzia elfu 30 single na 35 double.
Rent ianzie 20-35Taja bei yako usaidiwe unaposema affordable,
Affordability inategemea na Status ya mtu, kuna mwingine affordable kwake ni 3k, mwingne10k, mwingne 50k, mwingne 150k n.k n.k
Hawana izo mbwembwe lile dubwana uwa halijai.Naweza kupata mawasiliano yao for booking
Shukran bossHawana izo mbwembwe lile dubwana uwa halijai.
Ila namba yao hiyo: 0755 759 467
Walau icheze Kati ya 20-30Afordability ni relative term,bei gani ume bajeti?
na status ya wageni wako? Au Mgeni ni wewe mwenyewe unataka ukaishi ubungo kwa muda huu wa krismas
Uliza Mtenzi Lodge,iko karibu na BEST POINT Hotel. hapo nyuma ya riverside,niliwahi waweka ndungu zangu hapo ,palikuwaga pasafi sana .sijui siku hizi.kama pako hivyo hivyo ni pazuri panamfaa mtu wa katiWalau icheze Kati ya 20-30
Unaweza kunipa no zao for booking!?Uliza Mtenzi Lodge,iko karibu na BEST POINT Hotel. hapo nyuma ya riverside,niliwahi waweka ndungu zangu hapo ,palikuwaga pasafi sana .sijui siku hizi.kama pako hivyo hivyo ni pazuri panamfaa mtu wa kati
Wandugu..natazamia kupata ugeni hivi karibuni..msaada mwenye kujua affordable lodge au motel karibu na ubungo bus terminal ..nimesearch google sijaona affordable .
Rent ianzie 20-35
Naweza kupata no zao for booking!?nenda kibqdamo/ Mic
Njoo ulale kwangu bure Happ Shekilango. Na nitakuongezea na nauli asubuhi kiroho safiWalau icheze Kati ya 20-30
Afu kwake unategemea nini in return?Njoo ulale kwangu bure Happ Shekilango. Na nitakuongezea na nauli asubuhi kiroho safi
Kagame ipo uelekeo gani specify plzFikia KAGAME HOTEL,
Bei yao ni 25,000 hadi 75,000
Wana bonge LA Breakfast asubuhi,
Vyumba ni vzr mno...
Sina contact zao kwani huwa situnzi receipt, ila vyumba vipo tu utapata...