Msaada wa Lodge nzuri ya kufikia Mwanza Mjini

Msaada wa Lodge nzuri ya kufikia Mwanza Mjini

The Assassin

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
4,942
Reaction score
20,077
Wenyeji wa Mwanza naomba msaada wa kujua lodge nzuri ya kufikia Mwanza Mjini. Nina safari ya Mwanza hivi karibuni ila sina uzoefu wa wenyeji wa mjini.

Naomba anayefahamu Lodge nzuri anisaidie kujua kufahamu ila iwe mjini au maeneo ya jirani na mjini.

Ahsante.
 
Jirani na mjini kuwa utakuwa unafanya kazi usiku au? Kama una shughuli mjini syo mbaya ukikaa buzuruga,nyakato,nera,ghana,nyegezi
 
Mwanza kuna Malaika beach kama unataka upepo au gold crest kama unataka kukaa town pia kuna mahotel kule kapiripoint za bei nzuri pia kuanzia kona ya bwiru mpaka pasiasi apo katikati kuna lodge nyingi na ni btn 20,000-50,000 mwanza kiujumla pazuri.

Changamoto ni unataka ya pesa kiasi gani?.
 
Oliver ipo Nera
Nera ni wapi? Kuna moja nililala mwaka juzi inaitwa oliver ilikua somewhere kulia ile barabara kama unaenda airport kabla hujafika daraja la furahisha
 
Back
Top Bottom