kabila01
JF-Expert Member
- Apr 21, 2009
- 4,235
- 4,964
Nenda anoxa hotel jiran na uwanja wa furaisha, villa park, rock city mall unaenda kwa miguu. Bei ni ndogo sana elf 25 tu unapata breakfast ya buffet mpaka unasaza, unafuliwa na kunyooshewa nguo free hata kama begi zimaWenyeji wa Mwanza naomba msaada wa kujua lodge nzuri ya kufikia Mwanza Mjini. Nina safari ya Mwanza hivi karibuni ila sina uzoefu wa wenyeji wa mjini.
Naomba anayefahamu Lodge nzuri anisaidie kujua kufahamu ila iwe mjini au maeneo ya jirani na mjini.
Ahsante.