Msaada wa Low beam hazina nguvu

Msaada wa Low beam hazina nguvu

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Wadau kwema

Mkoko wangu aina ya Raum new model izi za 2007 una shida iyo taja, mwenye kujua shida hii nii solve vipi ..maana ata nikibadilisha bulb bado low beam hazimuliki chini vizuri kwa ule mwanga unaotakiwa

Kitu ambacho kimenifanya nitumie high beam ata nikiwa town route za usiku , hii kidogo ina ni kwqnza maana sometimes unakutana na mwamba akikupiga high beam zake lzm uombe POO !
 
Jaribu kuzungusha ile bulb ya low beam japo sijui ni design ipi mfano mimi natumia aina ya 9005 na 9006 6000k niliziwekaga vibaya nikaona kama hazioni fresh nikaja kununua C6 za 9005 na 9006 nikakuta zenyewe ndo hazifai kabisa..nikazirudisha za 9005 na 9006 6000k nikazigeuza geuza vizuri sasa hivi zipo fresh mtu akipiga full na mimi nikipiga full lazima azizime zake..
 
Back
Top Bottom