Lawrichie JF-Expert Member Joined Aug 27, 2013 Posts 825 Reaction score 2,340 Jan 30, 2025 #1 Wakuu poleni na majukumu. Naomba msaada wa Lsnp Unlocker software, kuna simu ya Vivo y71 ipo kwenye system repair mode nataka kui fix. Natanguliza shukrani zangu kwenu.
Wakuu poleni na majukumu. Naomba msaada wa Lsnp Unlocker software, kuna simu ya Vivo y71 ipo kwenye system repair mode nataka kui fix. Natanguliza shukrani zangu kwenu.