Msaada wa lugha ya kichina

Msaada wa lugha ya kichina

Emmanuel Kiwango

New Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
2
Reaction score
0
Naomba mwenye kujua aniambie ni sehemu gani hapa
Tanzania (Dar es Salaam) wanafundisha lugha ya kichina??
 
Nenda mlimani kitengo kinachofundisha watu wenye Scholarship za kwenda China, wanafundidha mpaka Kungfuu
 
Njoo UDSM(main campus, au hata DUCE) utafundishwa....zaijian..( kwa kheri)
 
laoban,shishi with first and fourth tone respectively means fact/real(zhen)

ni shuo hanyu ma?wo zai zhongguo,ni na?

na wo gang mingbai le...

dui, neng shuo ba dan wo bu zai zhongguo le...wo zai yingguo!
 
Mi natamani kujua kikoreshia na kimongolia
 
Back
Top Bottom