Msaada wa Lugha ya Wenzetu English

Msaada wa Lugha ya Wenzetu English

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,720
Hivi ukitaka kumuuliza mama yako kuwa wewe ni mtoto wake wa ngapi kuzaliwa kwa kiingeleza utamuulizaje?
 
Hivi ukitaka kumuuliza mama yako kuwa wewe ni mtoto wake wa ngapi kuzaliwa kwa kiingeleza utamuulizaje?

Na utamuuliza ili nini? Kwani huwezi kuhesabu ndugu zako ukajua? Ina maana wewe ni kilaza kiasi hicho hadi mama akuambie wewe ni mwanae wa ngapi? Swali hilo halina mantiki. Na limeshajibiwa sana hapa jf. scrap!
 
Chukua hzo lınk hapo juu utapata jıbu.
 
Back
Top Bottom