Pamoja mkuu, tusubiri tuelewe ili tuachane na mazoeaWanakuja. Nipo siti ya mbele hapa nicheki madini
kuongezea pia muondo wa kiutawala wa halmashauli ya wilaya unaanzia ngazi ya vijiji, wakati manispaa,mji na jiji huanzia ngazi ya mtaaHalmashauri ya wilaya ikiendelea kiuchumi na kimiundo mbinu hubadilika jina kwenda Halmashauri ya Manispaa na halmashauri ya Manispaa ikiendelea Zaidi hujulikana Halmashauri ya mji na Maendeleo ya mji yakiendelea zaid huitwa halmashauri ya jiji nadhan nimejaribu kujibu Kwa kadri ya uwelewa wangu mdogo
Mji na jiji hapo umechanganyaHalmashauri ya wilaya ikiendelea kiuchumi na kimiundo mbinu hubadilika jina kwenda Halmashauri ya Manispaa na halmashauri ya Manispaa ikiendelea Zaidi hujulikana Halmashauri ya mji na Maendeleo ya mji yakiendelea zaid huitwa halmashauri ya jiji nadhan nimejaribu kujibu Kwa kadri ya uwelewa wangu mdogo
Iko Hivi:Naulizia vitu hivi hapa wakuu;
1. Halmashauri ya wilaya
2. Halmashauri ya manispaa
3. Halmashauri ya mji
4. Halmashauri ya jiji
5. Maana ya 'halmashauri'
Hili ni jukwaa la kujifunza na kuelimika, naomba nielimishwe kuhusu hoja hizo hapo juu ambazo mpaka sasa nazijua kwa mazoea tu ya kuzitamka basi lkn si kwa kuzichambua.....isitoshe kutoa elimu kwa mtu ni ibada tosha kabisa kwa Muumba, yaani Mola.
Ahsanteni na mbarikiwe sana!