duh...nadhani kucheki upepo ukiweza hata kila siku ni vzr zaidi...upepo unapungua mda wowote kwa sababu tofautiDuuuu hao mafundi kama wameshindwa kujua alama ya tairi basi ni shida..
Jitahid kupima upepo kila baada ya km 3000
Duh....siutapasua tair brooo, maana binafsi tair huwa zina upepo wa kutosha ila ukitembea umbali mrefu huwa inawaka mkuuDuuuu hao mafundi kama wameshindwa kujua alama ya tairi basi ni shida..
Jitahid kupima upepo kila baada ya km 3000
Au inawezekana watu wengine tunavojazaga upepo tairi za mbele na nyuma kipimo tofauti??Duh....siutapasua tair brooo, maana binafsi tair huwa zina upepo wa kutosha ila ukitembea umbali mrefu huwa inawaka mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kikawaida tair za mbele huwa inapendeza zaidi ukiweka 35 na matair ya nyuma 40Au inawezekana watu wengine tunavojazaga upepo tairi za mbele na nyuma kipimo tofauti??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kikawaida tair za mbele huwa inapendeza zaidi ukiweka 35 na matair ya nyuma 40
Sent using Jamii Forums mobile app
Unapima Tu tairi kuangalia upepo ukoje kwahiyo kila baada km kadhaa gari ikitembea unaweza kupima Tu wengine wanaweka pressure ya 30-40Duh....siutapasua tair brooo, maana binafsi tair huwa zina upepo wa kutosha ila ukitembea umbali mrefu huwa inawaka mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa haina haja ya kutembea km nyingi Sana huu utaratibu nilikuwa nafanya Kwenye tairi mpyaduh...nadhani kucheki upepo ukiweza hata kila siku ni vzr zaidi...upepo unapungua mda wowote kwa sababu tofauti
Mkuu kila gari imewekewa kiwango chake cha upepo usijajizie tu kwa mazoea. Ukitaka kufahamu kiwango cha upepo kinachopendekezwa na manufacturer fungua mlango wa mbele (upande wa dereva) wa gari yako angalia upande ule wa lock ya mlango unapofungaga utakuta wamekubandikia kikaratasi kina maelezo mengi pamoja na upepo. Na attach kapicha hapa sijui kama kanaonekana vizuriKikawaida tair za mbele huwa inapendeza zaidi ukiweka 35 na matair ya nyuma 40
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kila gari imewekewa kiwango chake cha upepo usijajizie tu kwa mazoea. Ukitaka kufahamu kiwango cha upepo kinachopendekezwa na manufacturer fungua mlango wa mbele wa gari yako angalia upande ule wa lock ya mlango unapofungaga utakuta.../QUOTE]Ok, ngoja nifanye hvyo zen ntaleta mrejesho mkuu, ilitupeane elimu zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Na fielderMafundi wengi ni wapuuzi wakishindwa kuelewa kitu wanasemaga hio ni kawaida tu kwa aina hii ya gari.
Mkuu ni sign ya tairi moja haina upepo wa kutosha. Hebu shuka nje kagua!
Toyota waliweka sensor maalum TPMS(Tyre.Pressure.Monitoring.System) kwenye baadhi ya gari kama Corrola Axio pamoja na sister car mwenzake Runx / Allex ili kukujuza endapo upepo kwenye matairi umefikia katika critical level.
Yani mbele kwenye uzito mkubwa wa engine uweke 35 halafu nyuma 40? You can't be serious. Mi natumia low profile tyres mbele naweka 45 nyuma 35Mkuu kila gari imewekewa kiwango chake cha upepo usijajizie tu kwa mazoea. Ukitaka kufahamu kiwango cha upepo kinachopendekezwa na manufacturer fungua mlango wa mbele (upande wa dereva) wa gari yako angalia upande ule wa lock ya mlango unapofungaga utakuta wamekubandikia kikaratasi kina maelezo mengi pamoja na upepo. Na attach kapicha hapa sijui kama kanaonekana vizuriView attachment 1451553
Sent using Jamii Forums mobile app