GeniSys101
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 1,229
- 1,465
Mkuu nimesema manufacturer ameweka details kwenye hicho kibandiko kilichopo mlangoni kwa dereva. Magari yanatofautiana viwango kwa mfano yangu ni 32 kote kote mbele na nyuma. Hiyo ya 40 kwa 35 sijui labda itakuwa imeandikwa kwakoYani mbele kwenye uzito mkubwa wa engine uweke 35 halafu nyuma 40? You can't be serious. Mi natumia low profile tyres mbele naweka 45 nyuma 35
Sent using Jamii Forums mobile app