GeniSys101
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 1,229
- 1,465
Mkuu nimesema manufacturer ameweka details kwenye hicho kibandiko kilichopo mlangoni kwa dereva. Magari yanatofautiana viwango kwa mfano yangu ni 32 kote kote mbele na nyuma. Hiyo ya 40 kwa 35 sijui labda itakuwa imeandikwa kwakoYani mbele kwenye uzito mkubwa wa engine uweke 35 halafu nyuma 40? You can't be serious. Mi natumia low profile tyres mbele naweka 45 nyuma 35
🤣🤣🤣Umecheki RAM kama ziko vizur,cheki na fan ya power supply kama inazunguka
Huwa tunaweka hvyo kwa maana kwamba, tairi za mbele zikiwa zina jaa sana upepo zaid ya 35 gari inapoteza mneso hvyo utakuwa mhanga wa kubadilisha ma bol joint n.k. m nimewahi kutumia low profile na nilokiwa naweka mbele 35 nyuma 40, tatizo la low profile inahitaji uwena hela mfuko wa shati maana muda wowote ukipiga shimo kwenye lami kina mambo mawili, kukosa rim yenyewe kama ni hizi za dukani maana huwa zinapasuka ovyo kabisa au kumegua, pili huwa zinapinda chap sana na kumwaga upepo, hvyo usipo weka upepo wa kutosha hatari inakuwa kubwa zaidi kwa upande wa rim. Pia kuweka 35 kwa tair zote ni sawa tu au kizingatia vipimo vilivyoandikwa kwenye gari yako ila ni kama unatumia tair walizopendekeza pia urumie katika gari husika, huwa wanaadika japo wengi wetu tunatumia tuzipendazoYani mbele kwenye uzito mkubwa wa engine uweke 35 halafu nyuma 40? You can't be serious. Mi natumia low profile tyres mbele naweka 45 nyuma 35
Hyo unayosema ww ni kama unatumia tairi walizo pendekeza utumie, ila kama tairi unazotumia hazijaandikwa hapo huwezi tumia tena hyo maelkezo yao, kwa mfano mm natumi size 15/70/185, wakati za kuja na gar ni 14/65/175 au 14/70/175 na 14/65/175. Hvyo ndo maana naweka 35 kwa 40, ila kama ww unatumia zilizokuja na gari fata walivyokuelekezaMkuu nimesema manufacturer ameweka details kwenye hicho kibandiko kilichopo mlangoni kwa dereva. Magari yanatofautiana viwango kwa mfano yangu ni 32 kote kote mbele na nyuma. Hiyo ya 40 kwa 35 sijui labda itakuwa imeandikwa kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Najaribu kujiaminisha kuwa nimekuelewa.. Angalia hapaHyo unayosema ww ni kama unatumia tairi walizo pendekeza utumie, ila kama tairi unazotumia hazijaandikwa hapo huwezi tumia tena hyo maelkezo yao, kwa mfano mm natumi size 15/70/185, wakati za kuja na gar ni 14/65/175 au 14/70/175 na 14/65/175. Hvyo ndo maana naweka 35 kwa 40, ila kama ww unatumia zilizokuja na gari fata walivyokuelekeza
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama tair zako unazorumia zimeandikwa hapo hata upepo wako inabidi utumie waliokuelekza, ila mm mwenzio nilibadili tair na nikaweka ambazo hazipo kwenye maelekezo hapoNajaribu kujiaminisha kuwa nimekuelewa.. Angalia hapaView attachment 1454895
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu.. Nadhani nimekuelewa. Mi sikubadili nilinunua tu mpya lakini saizi hiyo hiyo so upepo naenda nao huo huoKama tair zako unazorumia zimeandikwa hapo hata upepo wako inabidi utumie waliokuelekza, ila mm mwenzio nilibadili tair na nikaweka ambazo hazipo kwenye maelekezo hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hapo ishu itakuwa umeme, hada kwenye swichi ya od, tafuta fundi umeme mzurvakusaidie au ukapime kabisa, hyo taa ya injini chek inawaka kwa sababu hyo hyo. Maana kuna gar ya mshikaji aina ya funcargo ilikuwa inawaka taa ya check engine tulivoenda kwa fundi umeme igafudulika kuwa ina waka kwa sababu ya swich ya mkanda wa dereva inashida hvyo inabakisha signal, kweli tukajaribu kendesha bila kufunga mkanda ile taa haikuwaka tena, ila ukifunga tu mkanda taa ya check engine inawaka. Hvyo hata ww shida itakuwa kwenye swich ya od ndo inashida au mfumo wake unashida iatakuwa kuna shotiWakuu kuna gari aina ya Allex inanipasua kichwa sana, OD light ina blink na wakati huo huo taa ya check engine inawaka ile ya njano..!
Msaada wa mawazo tafadhali.
Kikawaida tair za mbele huwa inapendeza zaidi ukiweka 35 na matair ya nyuma 40
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani mbele kwenye uzito mkubwa wa engine uweke 35 halafu nyuma 40? You can't be serious. Mi natumia low profile tyres mbele naweka 45 nyuma 35
Kwahyo unataka unambie na vipimo vilivyoandikwa kwenye gari vinalingana na vya kwenye tairii, au ww unashaur tuzingatie vipimo vya kwenye tair au kwenye gariiiiUmekaririshwa hivyo. Lakini ni kwamba kiasi cha upepo kinachohitajika kwenye tairi la gari kimeandikwa kwenye tairi. Trna vitu vilivyo vingi kwenye Tairi vimeandikwa interms of codes. Ila suala ya tire pressure limeandikwa kwa maneno kabisa.
Max pressure single ... Psi
Max pressure double... Psi
Tupe elimu mkuu maana unagusa gusa wakati unaonekana unaufahamkubwa sana kwenye maswala hayaWatu wengi huwa wanaweka upepo mwingi nyuma eti kwa sababu nyumba ndio mzigo unakuwa mlubwa...
Ila hawajui kwamba unapofunga brake huwa kunakuwa na shift in mass kutoka nyuma kuja mbele.
Mimi naweka 45 nyuma na na mbele 45Mkuu nimesema manufacturer ameweka details kwenye hicho kibandiko kilichopo mlangoni kwa dereva. Magari yanatofautiana viwango kwa mfano yangu ni 32 kote kote mbele na nyuma. Hiyo ya 40 kwa 35 sijui labda itakuwa imeandikwa kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahyo unataka unambie na vipimo vilivyoandikwa kwenye gari vinalingana na vya kwenye tairii, au ww unashaur tuzingatie vipimo vya kwenye tair au kwenye gariiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahyo unataka unambie na vipimo vilivyoandikwa kwenye gari vinalingana na vya kwenye tairii, au ww unashaur tuzingatie vipimo vya kwenye tair au kwenye gariiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupe elimu mkuu maana unagusa gusa wakati unaonekana unaufahamkubwa sana kwenye maswala haya
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya magari ya siku hizi yana sensors nyingi sana nakushauri tafuta sehemu yenye mashine ya kusoma codes hizo itakuambia kirahisi tu ni kitu gani (au zama youtube). Mi kwa Mfano ilikuwa kila mara nikiingia kwenye manginja ngija taa ya ABS na check engine zinawaka mda wote nikazama youtube kucheki shida kama hizo kwa model ya gari yangu nikagundua kumbe ni kifuniko cha tank Ya mafuta tu kinakuwa loose sensors zinasoma. Nikikaza mfuniko taa zinaacha waka nikabadili mfuniko tatizo likaisha…Wakuu kuna gari aina ya Allex inanipasua kichwa sana, OD light ina blink na wakati huo huo taa ya check engine inawaka ile ya njano..!
Msaada wa mawazo tafadhali.
Shukrani mkuu..! Ngoja nifanye utambuzi wa kutumia mashine.Haya magari ya siku hizi yana sensors nyingi sana nakushauri tafuta sehemu yenye mashine ya kusoma codes hizo itakuambia kirahisi tu ni kitu gani (au zama youtube). Mi kwa Mfano ilikuwa kila mara nikiingia kwenye manginja ngija taa ya ABS na check engine zinawaka mda wote nikazama youtube kucheki shida kama hizo kwa model ya gari yangu nikagundua kumbe ni kifuniko cha tank Ya mafuta tu kinakuwa loose sensors zinasoma. Nikikaza mfuniko taa zinaacha waka nikabadili mfuniko tatizo likaisha…
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hiyo ni alama ya tairi na ukiangalia unaona haipo kama alama ya tairi ambayo tumeizoea. Alama ya tairi ambayo tumeizoea inakuwa kama hiyo ila yenyewe kwa ndani inakuwa na alama ya mshangao(!).Habari zenu wadau
Kuna taa imekua ikiwaka kwenye dashboard ya hii gari yangu corola runx na muda mwingine inazima. Nimeuliza kwa baadhi ya mafundi wanasema hizi gari ndo huwa ziko hivyo (inawezekana ndo utaalam wao umeishia hapo). Hivyo nawaomba wadau kama kuna mtu ashawahi kukutana na hii kitu anidadavulie.
Asanteni.