Msaada wa maana za maneno haya:-

Msaada wa maana za maneno haya:-

daneyodry

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2017
Posts
350
Reaction score
227
Habarini wadau
Kama kichwa cha habari kinavyosema, naombeni wale wajuzi katika lugha za kitaa wanisaidie kujua baadhi ya maana za maneno haya
1. Eneka
2. Kiki
3. Vizinga
4. Odah!
5. Kinyama, nk.

Na mengineyo unaweza kuongeza, ili wote tunaopenda lugha za kitaa tuzimudu vizuri. Santeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1. Kiki - ni tabia ya mtu kupenda sifa au kutaka aonekane yuko juu au kujipa hadhi
2. Vizinga - Ni zile tabia za mtu kumuomba mwenziwe kitu sana sana hela, mfano umekutana na rafiki uako ambae muda mrefu hamjaonana, sasa katika maonhezi akakushtukiza na kukuomba hela.
3. Kinyama - Hutumika kama kielezi/kivumishi kinachoelezea muda mrefusana

[emoji120] [emoji120] sante sana mkuu
Unaweza kuongezea zaidi ya haya, karibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom