O onetime JF-Expert Member Joined Feb 2, 2014 Posts 331 Reaction score 234 Apr 21, 2016 #1 Wakuu, naomba mlolongo wa kufuatilia mpaka kupata leseni kwa mtu ambaye amemaliza chuo na amepata cheti. Sifahamu chochote kuhusu hilo hivyo kwa yeyote anayefahamu naomba anieleweshe kistaarabu, ahsanteni!
Wakuu, naomba mlolongo wa kufuatilia mpaka kupata leseni kwa mtu ambaye amemaliza chuo na amepata cheti. Sifahamu chochote kuhusu hilo hivyo kwa yeyote anayefahamu naomba anieleweshe kistaarabu, ahsanteni!
V viva666 Senior Member Joined Oct 11, 2016 Posts 111 Reaction score 117 Oct 1, 2019 #2 Habari zenu wapendwa ,mimi ni kijana mpambanaji ,naomba kujuzwa namna naweza kupata leseni ya kuniwezesha kuendesha bajaji. #shukrani sana
Habari zenu wapendwa ,mimi ni kijana mpambanaji ,naomba kujuzwa namna naweza kupata leseni ya kuniwezesha kuendesha bajaji. #shukrani sana
Damidizzo JF-Expert Member Joined Apr 28, 2014 Posts 400 Reaction score 172 Oct 1, 2019 #3 viva666 said: Habari zenu wapendwa ,mimi ni kijana mpambanaji ,naomba kujuzwa namna naweza kupata leseni ya kuniwezesha kuendesha bajaji. #shukrani sana Click to expand... Nenda VETA
viva666 said: Habari zenu wapendwa ,mimi ni kijana mpambanaji ,naomba kujuzwa namna naweza kupata leseni ya kuniwezesha kuendesha bajaji. #shukrani sana Click to expand... Nenda VETA
NDUKI JF-Expert Member Joined Jan 19, 2013 Posts 3,422 Reaction score 2,418 Oct 1, 2019 #4 Unatokea mkoa gani kijana...?
NDUKI JF-Expert Member Joined Jan 19, 2013 Posts 3,422 Reaction score 2,418 Oct 1, 2019 #5 Mbona hujasema unatokea mkoa gani...?