Msaada wa maelezo

Msaada wa maelezo

onetime

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2014
Posts
331
Reaction score
234
Wakuu, naomba mlolongo wa kufuatilia mpaka kupata leseni kwa mtu ambaye amemaliza chuo na amepata cheti. Sifahamu chochote kuhusu hilo hivyo kwa yeyote anayefahamu naomba anieleweshe kistaarabu, ahsanteni!
 
Habari zenu wapendwa ,mimi ni kijana mpambanaji ,naomba kujuzwa namna naweza kupata leseni ya kuniwezesha kuendesha bajaji.
#shukrani sana
 
Unatokea mkoa gani kijana...?
 
Mbona hujasema unatokea mkoa gani...?
 
Back
Top Bottom