Msaada wa mafuta mazuri ya ngozi

Msaada wa mafuta mazuri ya ngozi

Mbona mnanifanyia mzaha wakuu?
My God!!! Mafuta ya nyonyo/mbarika/ Castor oil ni mzaha??? au kwa kua niliweka 'lol'

Haya basi Nisamehe mimi.[emoji120]

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
f8dddb3b8deb4cf38161c9973d36044f.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app

0714547830
 
My God!!! Mafuta ya nyonyo/mbarika/ Castor oil ni mzaha??? au kwa kua niliweka 'lol'

Haya basi Nisamehe mimi.[emoji120]

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Sorry mkuu,hiyo loh imenifanya nione kama mchango ni wa mzaha tu.
Samahani sana na nashukuru kwa ufafanuzi
 
Hello, kama unahitaji mafuta sahihi kwa ngozi yako na yaliyotengenezwa kwa kutumia malighafi asilia kama maziwa na mbegu za maboga karibu tuwasiliane..

0672416294 au 0629273281

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumia Olive oil au mafuta ya nazi

Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom