Msaada wa mafuta ya kufanya nywele zangu ziwe laini na nyeusi

Msaada wa mafuta ya kufanya nywele zangu ziwe laini na nyeusi

Mkuu mwenyewe hapa mwanaume yanuzwa kati ya 6000 na 7500 haizidi hapo mkuu
Asante. Ukipata nafasi/ukirudi home naomba urushe picha ya kopo lake, Nikienda dukan nisije uziwa fake/tofauti
 
Asante. Ukipata nafasi/ukirudi home naomba urushe picha ya kopo lake, Nilienda dukan nisije uziwa fake/tofauti
Iyo hapo ipo na nyingine ni blue magic km magic
IMG_20201214_085716_855.jpg
IMG_20201214_085606_442.jpg
 
Binafsi nimekuwa nikitumia DAX KOCATAH above everything else yana coconut oil na tar oil .Yanaondoa tatizo la mba na kutibu tatizo la dry scalp .
Pia weusi wake hufanya nywele zionekane nyeusi zaidi na zenye afya .
DAX KOCATAH
 
Mafuta ya castor oil nayotumia sauv...yanaleta hayo matokeo...ila Ni Baada yakutumia kila siku for some time

Haya mafuta Ni mazuri kwakweli
 
Back
Top Bottom