Msaada wa Mafuta ya kung'arisha ngozi

Msaada wa Mafuta ya kung'arisha ngozi

Sh, ngapi
Hapana dada nimemwelekeza tu aitafute hiyo na kama ni black ama white skin haibagui,kama akiikosa hiyo atumie hizi hapa; rangi ya pink awe na ngozi nyeupe ila kama ni dark skin atumie ya kopo la blue
af1273a5be2548aa8c36b03bcd7807d1.jpg
 
Hivi kuwa na light skin ndo uzuri jamani? Mimi ni mweusi na cream yangu siku zote ni Olay. Niende juani au kwenye baridi sibadiliki. Miguuni na kwenye nywele natumia Wonder oil. Mimi naona mtu ukijifungua ndo unakuwa soft sababu ya kunywa sana soup na soft food kama ndizi na uji na kuoga maji ya uvuguvugu plus kukaa ndani.
 
Kama mnavojua msichana akijifungua,mng'aro wa ngozi yake huweza kufifia.Hasa weupe sana ndo huadhirika zaidi.Kwa hivyo ni mafuta yapi yanafaa kung'arisha ngozi hiyo,isiwe mkorogo.
Tunatofautiana. Yani mtu atoke kujifungua ngozi ififie.Mi huwa nang'aa mpk najiogopa na nkiwa mzazi mafuta yangu mwili mzima ni ya nazi nayompaka mtoto na mimi hayo hayo. Vyakula plus kukaa ndani miezi mitatu huwa nawaka uongo dhambi.
 
Back
Top Bottom