Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,652
Hapana dada nimemwelekeza tu aitafute hiyo na kama ni black ama white skin haibagui,kama akiikosa hiyo atumie hizi hapa; rangi ya pink awe na ngozi nyeupe ila kama ni dark skin atumie ya kopo la blueSh, ngapi
I second you, Mafuta ya nazi tena ya kutengeneza mwenyewe home. Utang'ara ufurahi mwenyewe... mimi nina ushuhuda na mafuta ya nazimafuta ya nazi
Bei yakeSh, ngapi
Tunatofautiana. Yani mtu atoke kujifungua ngozi ififie.Mi huwa nang'aa mpk najiogopa na nkiwa mzazi mafuta yangu mwili mzima ni ya nazi nayompaka mtoto na mimi hayo hayo. Vyakula plus kukaa ndani miezi mitatu huwa nawaka uongo dhambi.Kama mnavojua msichana akijifungua,mng'aro wa ngozi yake huweza kufifia.Hasa weupe sana ndo huadhirika zaidi.Kwa hivyo ni mafuta yapi yanafaa kung'arisha ngozi hiyo,isiwe mkorogo.