Msaada wa Mahakama

kiumbe kipya

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2016
Posts
2,831
Reaction score
1,304
Issue ni talaka shauri limeshasikilizwa ustawi wa jamii,mabaraza ya kata, na hatimae baraza la kata limeandika barua kwa ajili ya kwenda mahakama flani ya Mwanzo sasa mshikaji haelewi huko mahakamani anaanzia wapi je mwanasheria ataitajika au ataweza mwenyewe kukbiliana na mikikimikiki bila msaada wa wanasheria/wakili.
 
Advocates always hawaruhusiwi kwenda primary court kwa ajiri yakumtetea mtu,au kutoa ushauri wakisheria! Cha msingi kama anaona hawezi simama mwenyewe atafute wakili amshauri,what to do! Na kama akishindwa hiyo case hapo Primary Court akate rufaa kwenda (RMC) Mahakama ya Hakimu Mkazi huko ndo ataweka Wakili sasa...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…