kiumbe kipya
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 2,831
- 1,304
Issue ni talaka shauri limeshasikilizwa ustawi wa jamii,mabaraza ya kata, na hatimae baraza la kata limeandika barua kwa ajili ya kwenda mahakama flani ya Mwanzo sasa mshikaji haelewi huko mahakamani anaanzia wapi je mwanasheria ataitajika au ataweza mwenyewe kukbiliana na mikikimikiki bila msaada wa wanasheria/wakili.