Wonderful JF-Expert Member Joined Apr 8, 2015 Posts 7,347 Reaction score 5,986 Dec 6, 2015 #1 Hapa nimemjua Mwameja tu. Naomba mnitajie kuanzia kwa Mwameja kwenda kushoto kisha waliochuchumaa kutoka kusho kwenda kulia. Attachments Simba 1993.jpg 48.1 KB · Views: 445
Hapa nimemjua Mwameja tu. Naomba mnitajie kuanzia kwa Mwameja kwenda kushoto kisha waliochuchumaa kutoka kusho kwenda kulia.
Magwangala JF-Expert Member Joined Oct 4, 2011 Posts 2,836 Reaction score 2,138 Dec 6, 2015 #2 Hapo nawakumbuka wachache, waliosimama kutoka kulia,Azim Dewj (1) Mwameja(2),Ramadhan Lenny (4),Twaha Hamidu"Noriega"(7) waliochuchumaa kutoka kushoto,Malota Soma (5),Husein Masha (7)
Hapo nawakumbuka wachache, waliosimama kutoka kulia,Azim Dewj (1) Mwameja(2),Ramadhan Lenny (4),Twaha Hamidu"Noriega"(7) waliochuchumaa kutoka kushoto,Malota Soma (5),Husein Masha (7)
L lubamba JF-Expert Member Joined Jan 13, 2015 Posts 947 Reaction score 614 Dec 6, 2015 #3 waliochuchumaa chini wa kwanza kulia George magele Masatu nagoalkeeper msaidizi Often Martine