tracy martins
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 3,535
- 1,482
Nenda kwenye tiba za mitishamba ( sio waganga wa kienyeji), eg pale hindul mandal opposite kuna natural herbalist kajaribu , watu wanapasifiaHabari jamani, naombeni sana msaada wenu JF kwa mwenye ujua juu ya hili nina mama, anasumbuliwa sana na maradhi ya mgongo na na chembe ya moyo, Hospitali tumeshindwa msaada wa maombi ndugu zangu kwani hata kulala wala kutembea hawezi..
mgongo unamuumaje...nani sehemu gani ya mgongo inamuumaHabari jamani, naombeni sana msaada wenu JF kwa mwenye ujua juu ya hili nina mama, anasumbuliwa sana na maradhi ya mgongo na na chembe ya moyo, Hospitali tumeshindwa msaada wa maombi ndugu zangu kwani hata kulala wala kutembea hawezi..
Habari jamani, naombeni sana msaada wenu JF kwa mwenye ujua juu ya hili nina mama, anasumbuliwa sana na maradhi ya mgongo na na chembe ya moyo, Hospitali tumeshindwa msaada wa maombi ndugu zangu kwani hata kulala wala kutembea hawezi..
mgongo unamuumaje...nani sehemu gani ya mgongo inamuuma
kuna magonjwa mengine ni kwa sababu ya umri,mlisha fanya xrays, scan or mri...kama unazo jaribu namba hii ni dr mzuri sana...0682 959 000...specialists katika magonjwa ya viungo,....daktarii poa sana muelezee matatizo yakoHabari jamani, naombeni sana msaada wenu JF kwa mwenye ujua juu ya hili nina mama, anasumbuliwa sana na maradhi ya mgongo na na chembe ya moyo, Hospitali tumeshindwa msaada wa maombi ndugu zangu kwani hata kulala wala kutembea hawezi..
AminaAmin mama yako ameshapona,Kwa jina la Yesu Kristo aliye hai.
Habari jamani, naombeni sana msaada wenu JF kwa mwenye ujua juu ya hili nina mama, anasumbuliwa sana na maradhi ya mgongo na na chembe ya moyo, Hospitali tumeshindwa msaada wa maombi ndugu zangu kwani hata kulala wala kutembea hawezi..
Pole sana kwa kuumwa na mama yako nitafute mimi nipate kumtibia apate kupona. Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169Habari jamani, naombeni sana msaada wenu JF kwa mwenye ujua juu ya hili nina mama, anasumbuliwa sana na maradhi ya mgongo na na chembe ya moyo, Hospitali tumeshindwa msaada wa maombi ndugu zangu kwani hata kulala wala kutembea hawezi..
Pole sana kwa kuumwa na mama yako nitafute mimi nipate kumtibia apate kupona. Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169