tracy martins
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 3,535
- 1,482
Nenda kwenye tiba za mitishamba ( sio waganga wa kienyeji), eg pale hindul mandal opposite kuna natural herbalist kajaribu , watu wanapasifiaHabari jamani, naombeni sana msaada wenu JF kwa mwenye ujua juu ya hili nina mama, anasumbuliwa sana na maradhi ya mgongo na na chembe ya moyo, Hospitali tumeshindwa msaada wa maombi ndugu zangu kwani hata kulala wala kutembea hawezi..