Mg26
Member
- Jul 22, 2023
- 25
- 11
Hiyo birth Verification namba ni ya kutoka RiTaMsaada wa maombi ya mkopo wa elimu ya juu(HESLB) nilikuwa namuapplyia mkopo mdogo wangu sasa nimefika katika demograhic info nmejaza fomu vizur inalod tu ainipi murejesho naombeni msaada maana nimekwama siwezi endelea mbele.