Msaada wa maoni: Naweza kupata mke kupitia JF?

umenifurahisha,kwa hiyo unawapa ujanja wajifanye walokole.angalau umejishtukizia kuwa hujatulia.
 
kupata utapata.nina amini wasichana wanakuwa serious kwenye mahusiano,ila nyie wakaka mnapenda kudonoa donoa
 
Kama uliye pangiwa kuishi naye maishani yupo humu mtakutana tu.
Yawezekana mkapeana namba kwa ajili ya mawasiliano na
siku mnakutana ikatokea mna fahamiana.

Just pray first,....put as you pray don't dictate God.
(like God,i want to meet my rib out of JF single ladies.)

instead pray,.."God if it's your will,let me find my rib out of JF single ladies"
 
Du miye nilitafuta weeeee mpaka nikaaaacha so labda bahati yako maana nilipoweka wasifu wa kikulima ikawa tabu................ hawa ni watu wa magamba style............................
 
Nenda feisibuku utawapata wengi tu. Nakuombea kila la kheri.
 
ni hilo kwa sasa wadau naombeni maoni
Kuna mmoja alishajitangaza humu anatafuta mwanaume legelege wa kumlea. Kama nawe ni legelege jaribu kum-PM tafadhali.
 
kupata utapata.nina amini wasichana wanakuwa serious kwenye mahusiano,ila nyie wakaka mnapenda kudonoa donoa
Vipi kisukari na wewe ulishakuwa mhanga wa wadonoaji??? Pole sana.
 
Awe na miaka 35 hadi 40, urefu si chini ya futi 5,
 
Why Not Mkuu??!!
Sera zako tu!!!!!!!!!1
 
jaribu mkuu................ila nakushauri kua makakamavu wa kusema na akina dada amabao upo nao nao maeneo mabalimabli
 
JF kila kukicha hivi nyie mnatokea mbingu gani mpaka mdondokee JF inamaana avatar ndo tatizo??Huu niugonjwa wa akili haiwezekani unashindwa kupata mke huko unakoishi nawaty unakuja kutafuta husiye mjua!Nakataa nimatatizo ya Problems!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…