Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Kwa mawazo yangu huwezi kupata mke hapa kwani wengi wao Wanachama wa hii JAMII FORUMS wanajifanya wanawake kumbe ni midume kama wewe,nakushauri tafuta sehemu nyingene sio humu kwenye JAMII FORUMS huwezi kupata Mwanamke humu ndani. Mimi niliwahi kumtongoza Mwanachama fulani bint fulani basi alinijia juu kama mkungu wa ndizi unavyosimama na nikimsalimia hanijibu nakushauri usipoteze muda wako kutafuta mke humu ndani hutopata kamwe Yakhe.