Tripo9 JF-Expert Member Joined Sep 9, 2009 Posts 4,357 Reaction score 3,550 Sep 4, 2022 #1 Naomba Msaada wa maswali ya written interview na oral ya Office assistant kwa serikalini. Natanguliza shukrani zangu
Naomba Msaada wa maswali ya written interview na oral ya Office assistant kwa serikalini. Natanguliza shukrani zangu
Mnongane JF-Expert Member Joined Jan 10, 2014 Posts 260 Reaction score 364 Sep 4, 2022 #2 Watakuuliza nini maoni yako kuhusu tozo. Nawe unadhani kuna tozo gani imesahauliwa ili iingizwe kwenye mchahato. Mama unamuonaje anaupiga mwingi ama la.. Ukijibu vizuri maswali hayo basi umetoboa.
Watakuuliza nini maoni yako kuhusu tozo. Nawe unadhani kuna tozo gani imesahauliwa ili iingizwe kwenye mchahato. Mama unamuonaje anaupiga mwingi ama la.. Ukijibu vizuri maswali hayo basi umetoboa.
euca JF-Expert Member Joined Apr 6, 2015 Posts 3,811 Reaction score 4,178 Sep 5, 2022 #3 Tukutane CIVE pale